Stand kuikabili Yanga bila ya Alex Kitenge

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2019
Stand kuikabili Yanga bila ya Alex Kitenge

Alex Kitenge ndiye aliyeifungia Stand United mabao matatu ilipokutana na Yanga kwenye mchezo wa mzunguuko wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa ambapo Stand ilichezea kichapo cha mabao 4-3

Hata hivyo mshambuliaji huyo aliachana na Stand United mwishoni mwa duru ya kwanza akitimkia Macao kujiunga na klabu ya HangSani

Mpaka anaondoka Stand, Kitenge alikuwa amefunga mabao hayohayo matatu

Huo ndio mchezo ambao ulipelekea mlinda lango Klaus Kindoki akapoteza imani ya mashabiki wa Yanga kwake

Lakini mchezo huo ulikuwa miongoni mwa michezo ya mwanzoni mwa msimu wakati huo kikosi cha Yanga kikiwa hakijaiva sawasawa

Mchezo wa kesho utakuwa na utofauti. Wakati huu Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa inasaka ushindi ili kuendelea kuziacha timu nyingine kwenye mbio za ubingwa

Yanga inaongoza ligi kwa tofauti ya alama 12 dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili, na alama 19 dhidi ya KMC inayoshika nafasi ya tatu

Wakati TFF ikiipa 'likizo' Simba inayodai kubanwa na michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga inatumia fursa hiyo kuhakikisha inashinda michezo yake yote ili ikiwezekana itangaze ubingwa mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’