Yanga yatua Mwanza, kwenda Shinyanga kwa basi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2019
Yanga yatua Mwanza, kwenda Shinyanga kwa basi

Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga kimewasili mkoani Mwanza kikitarajiwa kuchukua usafiri wa barabara kuelekea mkoani Shinyanga

Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi kwa usafiri wa ndege hadi Mwanza

Jumamosi, vinara hao wa ligi kuu wanatarajiwa kuikabili Stand United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa dimba la Kambarage

Katika mchezo wa mzunguuko wa kwanza Yanga iliilaza Stand United mabao 4-3 na itakuwa inasaka ushindi mwingine ili kuzidi kuukaribia ubingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’