Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu na Maadili Hamidu Mbwezeleni kufariki dunia leo katika hospital Taifa ya Muhimbili.
Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha ghafla cha Mbwezeleni.

ADVERTISE HERE