Azam Fc yavutwa shati Mabatini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jan 2019
Azam Fc yavutwa shati Mabatini

Azam Fc imelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliopigwa uwanja wa Mabatini mkoani Pwani leo.

Matokeo hayo yameendelea kuinufaisha Yanga iliyo kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 12.

Yanga itakuwa na uhakika wa kuwa mbele ya Azam Fc kwa tofauti ya alama tisa kama wauza Icecream hao watashinda mchezo wao mmoja wa kiporo ili kuwa na idadi sawa ya michezo na Yanga

Matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’