Kwa wale waliokuwa wanauliza namna ya kupata kadi za uwanachama, uongozi wa Yanga umesema huduma hiyo itaanza kupatikana kwenye website rasmi ya klabu ya Yanga (www.yangasc.co.tz) kwa kujaza fomu maalum 'online'.
Pia kupitia website hiyo, bidhaa za Yanga kama jezi utaweza kununua/kuweka oda online kisha ktumiwa bidhaa yako popote ulipo.
Huduma hiyo itakujia hivi karibuni.
Pia kupitia website hiyo, bidhaa za Yanga kama jezi utaweza kununua/kuweka oda online kisha ktumiwa bidhaa yako popote ulipo.
Huduma hiyo itakujia hivi karibuni.
ADVERTISE HERE