Mlinda lango wa Yanga Beno Kakolanya amepata msiba wa kufiwa na mama yake mdogo.
Beno ambaye kwa sasa yuko nje ya majukumu katika kikosi cha Yanga kutokana na mgogoro uliopo, amethibitisha msiba huo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram
Tunampa pole, Mwenye ez Mungu amtie nguvu yeye na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE