Mchezo wa watani Wa jadi ligi kuu ya Wanawake kati ya Yanga (Yanga Princess) na Simba (Simba Queens) unapigwa leo dimba la Karume jijini Dar es salaam.
Kiingilio cha mchezo huo ambao Yanga Princess ni wenyeji, ni buku mbili tu.
Mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi kuwaunga mkono akina Dada hao wa Yanga Princess wanaohitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri katika msimamo wa ligi.
ADVERTISE HERE