Yanga kuhitimisha Mapinduzi Cup na Jamhuri fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2019
Yanga kuhitimisha Mapinduzi Cup na Jamhuri fc leo

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga leo wanahitimisha safari yao ya michuano ya kombe la Mapinduzi kwa kucheza na Jamhuri Fc katika mchezo utakaopigwa saa kumi na robo jioni.

Yanga inayotumia kikosi cha vijana kwenye michuano hiyo tayari imeondoshwa hivyo mchezo wa leo ni wa kukamilisha ratiba na kesho vijana hao wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam.

Meneja wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema michuano hiyo imewaimarisha wachezaji wake vijana ambao wameonyesha kiwango kizuri licha ya kutolewa mapema katika mashindano

Miongoni mwa wachezaji walio'ngara ni kiungo Gustav Simon ambaye wadau wa Yanga wamependekezwa apandishwe kikosi cha kwanza.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’