Yanga inashuka kwenye dimba la Amaani kuikabili Malindi Fc katika mchezo wa tatu wa kombe la Mapinduzi, kundi B.
Matokeo ya ushindi yataiweka Yanga katika nafasi nzuri ya kusonga mbele hatua ya nusu fainali.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoshuka dimbani leo;

ADVERTISE HERE