Uongozi wa Yanga umewataka wadau wake kuipuuza taarifa iliyochapishwa na gazeti la leo la Championi inayomuhusu beki wake Kelvin Yondani na wachezaji wengine wa klabu hiyo.
Taarifa ya klabu hiyo imesema gazeti hilo lina lengo la kuwavuruga WanaYanga

ADVERTISE HERE