Zahera, Makambo wabeba tuzo za TPL Disemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2019
Zahera, Makambo wabeba tuzo za TPL Disemba

Mkufunzi wa Yanga Mwinyi Zahera ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Disemba 2018 huku mshambuliaji wa timu hiyo Heritier Makambo akitwaa tuzo ya mchezaji bora katika kipindi hicho.

Zahera na Makambo wametwaa tuzo hiyo kwa mwezi wa pili mfululizo wakifanya hivyo mwezi Novemba 2018.

Zahera ametwaa tuzo huyo baada ya kuiongza Yanga kushinda michezo mitano mfululizo mwezi Disemba wakati Makambo ametwaa tuzo hiyo baada ya kuifungia Yanga mabao manne katika kipindi hicho.

Ni tuzo ambazo walistahili kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi hicho.

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’