Zahera ataka miezi miwili kumaliza matatizo ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2019
Zahera ataka miezi miwili kumaliza matatizo ya Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema atakaa na uongozi wa timu hiyo kuandaa mpango mkakati utakaoiwezesha timu hiyo kuondokana na ukata katika kipindi cha miezi miwili

Zahera amesema Yanga ina mtaji mkubwa wa mashabiki ambao wanaweza kuiendesha timu hiyo hata bila ya kutegemea tajiri mmoja mmoja.

"Tunaweza kuitisha Harambee kuwaomba wadau wote wa klabu ya Yanga kujitoa kuichangia timu," amesema Zahera

"Kama tutapata watu Mil 10 wakaweza kuichangia timu dola moja tutaweza kupata fedha ya kutosha kuiendesha timu mpaka mwishoni mwa msimu"

Zahera amesema utaratibu huo ni wa kawaida na hutumiwa na mashirika ya Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’