TFF yaanza kuvuruga ratiba VPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2017
TFF yaanza kuvuruga ratiba VPL
Shirikisho la soka nchini (TFF) tayari limeanza kuvuruga ratiba ya ligi kuu ya Vodacom baada ya mzunguuko mmoja tu.

Michezo yote iliyokuwa inachezwa tarehe 02 na tatu mwezi September imesogezwa mbele mpaka tarehe 06. Hivyo mchezo wa Njombe Mji dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe Septemba 03 sasa utapigwa Jumatano ya Septemba 06.



Michezo hiyo imelazimika kusogezwa mbele kupisha mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi Botswana unaotarajiwa kupigwa Septemba 02.

Mchezo huo upo kwenye kalenda ya FIFA.

Ni vyema wapangaji ratiba wa TFF kuzingatia kalenda ya michezo ya FIFA na CAF ili kuepuka kuvurugwa kwa ratiba mara kwa mara.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’