Waandaaji Mapinduzi Cup waliibana Yanga iongeze wachezaji wa kikosi cha kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jan 2019
Waandaaji Mapinduzi Cup waliibana Yanga iongeze wachezaji wa kikosi cha kwanza

Kamati ya mashindano ya michuano ya Mapinduzi imeiruhusu klabu ya Yanga kucheza michuano hiyo baada ya kuongeza wachezaji watano wa kikosi cha kwanza.

Katibu wa kamati hiyo Khamis Abdalah Said amesema kuwa awali waliiagiza Yanga kuongeza wachezaji wa kikosi cha kwanza kutokana na umuhimu wa michuano hiyo hasa baada orodha ya kwanza kuwa na idadi kubwa ya wachezaji kutoka timu ya vijana.

Amesema kwamba Yanga walitii agizo hilo na kikosi ambacho kimesafiri Zanzibar kimepewa baraka zote za kushiriki michuano hiyo ambayo imeanza rasmi hapo jana.

Jana Yanga ilitoa orodha ya wachezaji waliotakiwa kusafiri visiwani Zanzibar kushiriki michuano hiyo ikiwa na asilimia kubwa ya wachezaji wa kikosi cha vijana.

Kikosi cha Yanga tayari kiko visiwani Zanzibar na kinaongozwa na Kocha Noel Mwandila anayesaidiwa na Said Maulid 'SMG' na Nadir Haroub 'Cannavaro'.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’