Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho Jumatano kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.
Yanga itashuka dimba la Amani keshokutwa Alhamisi kucheza na KVZ katika mchezo ambao utacheza saa 2.15 usiku.
Msafara wa wachezaji 20, viongozi na benchi la ufundi wanatarajiwa kuondoka kesho.
Kikosi kinachokwenda Zanzibar
1.Maka Edward
2.Haji Mwinyi
3.Said Makapu
4.Matheo Anthony
5.Erick Msagati
6.Deo Mkami
7.Ibrahim Abrahaman
8.Ibrahim Ahmed
9.Deus Kaseke
10.Mustapha Seleman
11.Abuu Shaban
12.Ramadhan Mrisho
13.Mohamed Salumu
14.Cheda Hussein
15.Yasini Salehe
16.Salumu Mkama
17.Faraji Kilaza
18.Bakari Athman
19.Said Khasimu
20.Shaban Mohamed
ADVERTISE HERE