Baada ya mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli jana Jumapili, kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ametoa mapumziko ya siku moja kwa wachezaji.
Watarejea kesho Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa pili dhidi ya Njombe Mji Jumatano ya Septemba 06.
Yanga ilitoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa jana kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.

ADVERTISE HERE