Wababe wamerejea Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2018
Wababe wamerejea Dar

Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam mapema leo kwa usafiri wa ndege kikitokea Mbeya

Jana Yanga ilifunga mwaka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City na kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 10.

Safari ya Yanga mkoani Mbeya ilikuwa ya mafanikio makubwa kutokana na sapoti iliyotolewa na WanaYanga wa mkoa huo na mkoa wa jirani Songwe.

Vinara hao wa ligi kuu wanatarajiwa kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’