Emmanuel Martin aibeba Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2018
Emmanuel Martin aibeba Ruvu Shooting

Aliyekuwa winga wa Yanga Emmanel Martin jana aliifungia Ruvu Shooting bao pekee kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Biashara United.

Winga huyo aliyetua Ruvu Shooting katika usajili wa dirisha dogo baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika, alionyesha kiwango kizuri na kudhihirisha kuwa angali anayo makali

Msemaji wa Ruvu Shooting mwenye maneno mengi, Massau Bwire ameishukuru Yanga kwa kuwapatia mchezaji huyo huku akidai timu hiyo ilifanya makosa kumuacha

"Lulu waliyoiacha imekuwa na thamani kwetu, waliichezea na hawakuipa nafasi lakini kwetu imeleta matunda kwa kufunga goli ambalo limetupa alama tatu leo," amesema Bwire

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’