Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingiza raundi ya 18 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Miongoni mwa michezo ya leo, Tanzania Prisons inayosuasua msimu huu itakuwa na nafasi ya kujisahihisha mbele ya Coastal Union katika mchezo utakaopigwa dimba la Sokoine.
Mchezo mwingine utapigwa kesho katika dimba hilohilo la Sokoine ambapo vinara wa ligi kuu Yanga watakuwa wageni wa Mbeya City
Hii hapa ratiba ya michezo yote ya leo

Matokeo ya michezo yote ya leo

ADVERTISE HERE