Zahera afunguka maandalizi mchezo dhidi ya Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2018
Zahera afunguka maandalizi mchezo dhidi ya Mbeya City

Kocha wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema klabu hiyo ataendeleza historia ya kuondoka na ponti tatu mikoani pale wanapokutana na timu pinzan iwakati watakaupokutana na Mbeya City kesho.

Zahera ametamba hivyo leo baada ya kumaliza kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa.

β€œSisi mwendo wetu ni uleule wa kuondoka na pointi tatu ni kila mechi tutakayocheza.

"Yote hiyo ni kwa sababu kikosi changu ni kizuri hivyo nawaomba mashabiki wa Yanga waje kwa wingi na kushuhudia tunaitandika Mbeya City kwenye uwanja wao wa nyumbani”, alisema Zahera.

Zahera ameongeza kuwa anatarajia kuona marefa watakao chezesha mchezo wao wa kesh watakuwa na weledi wa hali ya juu katika kutafsiri sheria za mpira wa miguu.

Hata hivyo Zahera amesema katika mchezo wa kesho anatarajia kumchezesha Haruna Moshi maarufu Bobani kutokana kupendezwa na mchezo wake aliyouonyeshwa wakati wa mechi ya Tukuyu star uliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’