Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera na benchi lake la ufundi wako mkoani Mbeya wakikiandaa kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria tayari kuikabili Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Miamba hawa wa benchi la Ufundi wamekuwa chachu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga msimu huu.


ADVERTISE HERE