Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Yanga wamewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City.
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya leo Alhamisi ikitumia usafiri wa Ndege.

ADVERTISE HERE