JustFit wamzawadia Ninja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2018
JustFit wamzawadia Ninja

Duka maarufu la kuuza vifaa vya michezo JustFit ambalo limekuwa na mahusiano mazuri na klabu ya Yanga, limemtuza beki Abdallah Shaibu 'Ninja' kutokana na kazi nzuri anayofanya uwanjani.

Shaibu amekuwa msaada mkubwa kwa Yanga akiwa tayari amepachika mabao mawili msimu huu.

Kiwango chake kimekuwa kikiimarika na kwa hakika anastahili kupongezwa kwa kazi nzuri anayoifanyia Yanga sasa.

JustFit pia wamemtuza kinara wa mabao wa kikosi cha Yanga Heritier Makambo aliyeifungia Yanga mabao tisa kwenye ligi mpaka sasa.

Makambo pia aliibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kwa mwezi wa Novemba 2018

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’