Wanne Yanga waitwa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Aug 2017
Wanne Yanga waitwa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana, Septemba 02, 2017.

Katika kikosi kilichotangwazwa na kocha Mkuu Salum Mayanga, wachezaji wanne kutoka Yanga wamejumuishwa.

Wachezaji hao ni Ramadhani Kabwili, Kelvin Yondani, Gadiel Michael na Raphael Daudi.

Kikosi Kamili

Makipa
Aishi Manula
Mwadini Ally
Ramadhani Kabwili

Walinzi
Boniface Maganga
Abdi Banda
Gadiel Michael
Kelvin Yondani
Salim Mbonde
Erasto Nyoni

Viungo
Himid Mao
Hamis Abdallah
Mzamiru Yassini
Said Ndemla
Simon Msuva
Shiza Kichuya
Fardi Mussa
Morel Ergenes

Washambuliaji
Raphael Daudi
Kelvin Sabato
Mbwana Samatta
Elias Maguli
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’