Yanga yamaliza kuandaa 'dozi' ya Tukuyu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2018
Yanga yamaliza kuandaa 'dozi' ya Tukuyu Stars

Kikosi cha mabingwa kihistoria wa Tanzania Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Tukuyu Stars.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatatu, Disemba 24 katika dimba la Taifa ukitarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.

Kiungo mpya wa Yanga Haruna Moshi 'Boban' ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo yaliyosimamiwa na kocha Msaidizi Noel Mwandila anayekaimu nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye bado yuko nchini Ufaransa kukamilisha mambo yake ya kibiashara.

Vinara hao wa ligi kuu kuu wamepania kupata ushindi hapo kesho ili kutinga raundi ya nne ya michuano ya kombe la FA.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’