Ngasa amemaliza adhabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2018
Ngasa amemaliza adhabu

Winga wa Yanga Mrisho Ngasa yuko huru kuitumikia timu hiyo kwenye michezo ya ligi na kombe la FA baada ya kumaliza adhabu ya kukosa michezo mitatu.

Ngasa alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa Disemba 03 mkoani Mbeya baada ya kumpiga kichwa Hassani Kapalata

Mchezo huo uliogubikwa na vurugu nyingi baada ya waamuzi kushindwa kuumudu, pia ulishuhudia nahodha wa Tanzania Prisons Laurian Mpalile naye akilambwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa Ngasa

Yanga ilifanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 3-1 ambapo mabao ya Yanga yaliyofungwa na Amisi Tambwe (2) na Ibrahim Ajib.

Ngasa na Mpalile wamenusurika na adhabu zaidi baada ya kutumikia adhabu ya kadi nyekundu walizopewa kwenye mchezo huo.

Beki Andrew Vicent amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Nidhamu ya TFF akihusishwa kufanya matukio ya utovu wa nidhamu katika mchezo huo

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’