Beki kisiki wa Yanga Andrew Vicent 'Dante' amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka nchini (TFF) kufuatia matukio ya utovu wa nidhamu katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga.
Chikupe anatuhumiwa kumpiga kichwa mwamuzi wa mchezo huo ambao uligubikwa na vurugu, waamuzi wakishindwa kuumudu
Beki huyo kisiki kwa sasa ni majeruhi na hakuwa kwenye kikosi cha Yanga kilichopata ushindi wa bao 1-0 jana dhidi ya African Lyon.
Huenda akafungiwa michezo mitatu.

ADVERTISE HERE