Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera yuko nchini Ufaransa akishughulikia masuala ya biashara zake na anatarajiwa kurejea nchini wiki ijayo, Disemba 26 2018.
Zahera amewatakia kila la kheri vijana wake ambao leo wanashuka katika dimba la Sheikh Amri Abeid kuikabili African Lyon kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Kikosi cha Yanga kitashuka dimbani leo kikiwa na kazi moja tu, kupata ushindi ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE