Eti Boban mzee? subirini mtamuona - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2018
Eti Boban mzee? subirini mtamuona - Zahera
Mwinyi Zahera ni kocha anayejiamini na mwenye msimamo katika maamuzi anayoyachukua.

Wapo mashabiki wamekosa imani kwa usajili wa kiungo Haruna Moshi 'Boban' aliyesajiliwa na Yanga akitokea klabu ya African Lyon.

Lakini Mcongomani huyo amewaambia watulie, wasubiri wamuone Boban wa Yanga.

"Nilipomuona kwa mara ya kwanza nilibaini ni mchezaji mwenye kipaji na akili nyingi. Ndio maana nikawaagiza viongozi wa Yanga wamsajili," alisema Zahera

"Wengine wameniambia sijui mzee sijui ana matatizo gani.. Nimewaambia wasubiri watamuona akianza kucheza kwenye timu yangu"

Zahera amepanga kumtumia Boban sambamba na Heritier Makambo/Amisi Tambwe ili awarahisishie washambuliaji hao kazi ya kupachika mabao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’