Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya matibabu
Zahera ambaye pia ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo, matibabu yake yatasimamiwa na Serikali ya nchi hiyo.
Zahera hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kusafiri kuelekea mkoani Arusha kuikabili African Lyon Alhamisi, Disemba 20 2018.
Hata hivyo Zahera huenda akauwahi mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Tukuyu Stars utakaopigwa kati ya Disemba 22 na 24 kwenye dimba la Taifa

ADVERTISE HERE