Bao la 'usiku' alilofunga Heritier Makambo dhidi ya Ruvu Shooting limemfanya afikishe ambao tisa sasa akimfikia mshambuliaji wa Mbeya City Eliud Ambokile
Said Dilunga wa Ruvu Shooting nae amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya kuifungia Ruvu Shooting leo
Mapema kabla ya mchezo wa leo, Makambo alikabidhiwa tuzo baada ya kuibuka kuwa mchezaji bora wa ligi mwezi uliopita
Makambo ameendeleza rekodi yake ya kufunga kila mchezo akiwa tayari amefunga mabao mawili mwezi huu.
Naye Amissi Tambwe amefikisha mabao matano baada ya kupachika moja ya mabao ya Yanga katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE