Zahera amkataa Kakolanya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2018
Zahera amkataa Kakolanya
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amegoma kumpokea mlinda lango Beno Kakolanya na amewaambia waliomshauri agome wamtafutie timu.

Mepema siku ya Ijumaa iliripotiwa mmoja wa wadau wa Yanga Cyprian Musiba alijitolea kulipa deni la mlinda lango huyo ili aweze kurejea kikosini.

Hata hivyo Zahera amesema hakuna nafasi kwa mlinda lango huyo kwenye kikosi cha Yanga

"Dirisha la usajili linafungwa kesho saa sita usiku. Sisi hatuko tayari kumpokea Kakolanya. Wale waliomshauri agome ni vyema wakamtafutia timu," amesema Zahera

"Sifahamu kama ni Meneja wake au ni watu wengine waliomshauri asije mazoezini wamtafutie timu kabla ya kesho saa sita usiku ila hapa kwetu nadhani haiwezekani tena"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’