Winga wa Yanga Yusufu Mhilu amepelekwa kwa mkopo wa miezi sita kunako klabu ya Ndanda Fc.
Mhilu anatarajiwa kuitumikia Ndanda Fc mpaka mwishoni mwa msimu.
Uamuzi huo unatajwa kulenga kulinda kipaji cha winga huyo ambaye amekosa nafasi kwenye kikosi cha kocha Mwinyi Zahera
Uongozi wa Yanga umemshukuru na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya na klabu ya Ndanda FC.

ADVERTISE HERE