Mdau na Mwanachama wa klabu ya Yanga Cyprian Musiba amejitolea kulipa deni la fedha za usajili za mlinda lango Beno Kakolanya alilokuwa anaidai klabu hiyo.
Leo Musiba amemkabidhi Kakolanya fedha taslim Tsh Mil 2 ikiwa ni sehemu ya malipo ya deni lake linalofikia Tsh Mil 15.
Ameahidi kulipa fedha zilizobaki kwa utaratibu maalum ambao wamekubaliana.
Kakolanya sasa amerejea katika kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye dimba la Taifa.

ADVERTISE HERE