Zahera ndiye aliyependekeza usajili wa Boban

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2018
Zahera ndiye aliyependekeza usajili wa Boban
Imebainika kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ndiye aliyependekeza kusajiliwa kwa kiungo wa African Lyon, Haruna Moshi 'Boban'.

Tayari Yanga imeshamalizana na Boban ambaye amesaini mkataba wa miezi sita.



Zahera amebainisha kuvutiwa na Boban alipomuona kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya African Lyon dhidi ya JKT Tanzania

Baada ya kuvutiwa na uwezo wake, Mcongomani huyo aliwaagiza viongozi wa Yanga kumfuatilia na kukamilisha usajili wake.

Boban ana uzoefu wa soka la Tanzania, na ni miongoni mwa wachezaji walion'gara kwenye kikosi cha African Lyon msimu huu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’