Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea kesho Ijumaa Disemba 14 2018 ambapo inaingia katika raundi ya 17 kwa michezo miwili kupigwa.
JKT Tanzania itachuana na Singida United katika mchezo wa mapema utakaopigwa saa nane mchana ukifuatiwa na mchezo kati ya Stand United dhidi ya Kagera Sugar
Ligi hiyo itaendelea siku ya Jumamosi kwa michezo mitatu kupigwa wakati vinara wa ligi hiyo Yanga watashuka dimbani siku ya Jumapili Disemba 16 kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo utakopigwa uwanja wa Taifa saa kumi kamili jioni.

ADVERTISE HERE