Rasmi : Emmanuel Martin ametua Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2018
Rasmi : Emmanuel Martin ametua Ruvu Shooting
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Martin amekamilisha usajili wake kunako klabu ya Ruvu Shooting.

Martin amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Ruvu Shooting 'Wazee wa kupapasa'

Martin aliitumikia Yanga kwa misimu miwili ukiwa ni usajili wa kwanza wa kocha George Lwandamina alipojiunga na Yanga mwaka 2016.

Alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga ilichotwaa taji la Ligi Kuu Msimu wa 2016/17

Tangu kuwasili kwa kocha Mwinyi Zahera, Martin ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Mcongomani huyo.

TUNAMTAKIA KILA LA KHERI
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’