Kombe la FA : Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Ihefu au Tukuyu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2018
Kombe la FA : Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Ihefu au Tukuyu Stars
Droo ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la FA (ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa wa kombe hilo msimu wa 2015/16 Yanga wataanzia nyumbani dhidi ya mshindi wa mchezo kati ya Ihefu Fc dhidi ya Tukuyu Stars kutoka jijini Mbeya.

Kama Ihefu Fc itaiondosha Tukuyu Stars basi itakutana na Yanga katika msimu wa pili mfululizo.

Msimu uliopita Ihefu ilichuana na Yanga kwenye hatua ya 16 bora mkoani Mbeya na Yanga kushinda kwa mikwaju ya penati 4-3 katika mchezo ambao Youthe Rostand, mlinda lango wa zamani wa Yanga aliibuka shujaa.

Michezo ya raundi ya tatu itapigwa kati ya Disemba 21-24 2018.

Hii hapa ratiba kamili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’