Mchezo wa kiporo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya African Lyon dhidi ya Yanga utapigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
African Lyon ndio wenyeji wa mchezo huo utakaopigwa Disemba 20 2018.
Lyon imeomba kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa michezo yake ya nyumbani.
Hivi karibuni klabu hiyo iliweka hadharani mipango yake ya kuhama jiji la Dar es salaam baada ya kukosa mashabiki wa kuiunga mkono

ADVERTISE HERE