Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa timu hiyo imemsajili mshambuliaji wa African Lyon mkongwe Haruna Moshi 'Boban'
Ten amesema Yanga haikufanya mazungumzo yoyote na Boban hivyo taarifa hizo hazina ukweli wowote.
Ten amewashauri waandishi wa habari kusaka taarifa sahihi kutoka sehemu husiku na sio kutoa taarifa ambazo hazina ukweli.

ADVERTISE HERE