Kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi ameanza mazoezi mepesi ikiwa ni program ya awali itakayomuwezesha kurejea dimbani
Mahadhi hajaonekana uwanjani msimu huu tangu alipopata majeraha ya goti kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger uliopigwa August 19 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mahadhi atakuwa kama ingizo jipya katika kikosi cha Zahera ambacho kimepania kutwaa ubingwa wa Tanzania bara msimu huu
Kwa sasa Mahadhi anafanya mazoezi chini ya uangalizi wa Daktari wa Yanga, Dk Edward Bavu

ADVERTISE HERE