Yanga yapania kutumia sare ya Azam Fc kujiimarisha kileleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2018
Yanga yapania kutumia sare ya Azam Fc kujiimarisha kileleni
Jumapili ijayo Disemba 16 2018 kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Baada ya leo Azam Fc kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na KMC, Jumapili Yanga itakuwa na nafasi ya kuongeza tofauti ya pointi dhidi ya timu hiyo na kuwa nne kama itaifunga Ruvu Shooting

Yanga, Azam Fc zimekuwa zikichuana kileleni mwa msimamo wa ligi zikibadilishana nafasi hiyo ambapo jana Yanga ilirudi kileleni baada ya kuilaza Biashara United mabao 2-1 na kufikisha alama 41.

Kama Azam Fc ingeshinda leo ingeongoza ligi lakini sasa imeendelea kubaki nafasi ya pili ikiwa na alama 40 pia ikiwa imecheza mchezo mmoja zaidi ya Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’