Zahera, Makambo watwaa tuzo za TPL Novemba 2018

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2018
Zahera, Makambo watwaa tuzo za TPL Novemba 2018
Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo ameibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Novemba 2018.

Makambo ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Said Dilunga wa Ruvu Shooting na Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga

Mwezi Novemba Makambo ameifungia Yanga mabao matatu.



Katika hatua nyingine, Kamati ya tuzo imemchagua kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kuwa kocha bora wa Novemba 2018

Zahera amewashinda Juma Magunda wa Coastal Union na Gilbert Dadi wa Alliance Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’