Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Biashara United.
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa keshokutwa Jumapili, Disemba 09 2018, saa moja usiku.
Yanga ilirejea jana kutoka mkoani Mbeya ambako ilifanikiwa kuondoka na alama zote tatu baada ya kuilaza Tanzania Prisons mabao 3-1
Kikosi hicho cha mabingwa wa kihistoria kimeingia kambini kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara).

ADVERTISE HERE