Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo mahiri wa Yanga Raphael Daudi Lothi.
Lothi ni mmoja wa wachezaji muhimu wa kikosi cha Zahera akiwa ameifungia Yanga mabao mawili kwenye ligi msimu huu.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu ya kumbukumbu.
HAPPY BIRTHDAY RAPHAEL DAUDI

ADVERTISE HERE