Yanga imekamilisha usajili wa winga kutoka Janhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Reuben Bomba aliyetua nchini hivi karibuni.
Inaelezwa Bomba amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania
Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Hussein Nyika amethibitisha timu hiyo kumalizana na winga huyo mwenye uwezo wa kucheza nafasi zote za pembeni na mshambuliaji wa kati
Nyika amesema kikosi chao kiko imara na kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo wanaongeza wachezaji wenye ubora zaidi
Bosi huyo wa Kamati ya usajili amesema wiki ijayo watakamilisha zoezi la usajili na wataweka hadharani 'vifaa vipya' vilivyotua Jangwani

ADVERTISE HERE