Yanga kurejea Dar leo, kuingia kambini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2018
Yanga kurejea Dar leo, kuingia kambini
Kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo kutoka mkoani Mbeya na moja kwa moja kinatarajiwa kuingia kambini kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Biashara United.

Mabingwa hao wa kihistoria jana walikuwa mkoani Rukwa kucheza na Sumbawanga United kwenye mchezo wa kirafiki.

Yanga imeondoka Rukwa mapema leo kurudi mkoani Mbeya kisha kuunganisha jijini Dar es salaam kwa usafiri wa Ndege.

Mchezo dhidi ya Biashara United utapigwa Jumapili Disemba 09 kwenye dimba la Taifa
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’