Ratiba ya michezo minne ya Yanga inayofuata, kurudi Mbeya Dec 29

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2018
Ratiba ya michezo minne ya Yanga inayofuata, kurudi Mbeya Dec 29
Baada ya kupata ushindi wa asilimia 100 kwenye michezo mitatu ya mikoani, Jumapili kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam kuikabili Biashara United.

Wiki moja baadae, Disemba 16 Yanga itashuka tena dimba la Taifa kuikabili Ruvu Shooting kisha kufunga safari kwenda mkoani Mbeya kuikabili Mbeya City Disemba 29.

Baada ya mchezo huo Yanga itarudi jijini Dar es salaam kuikabili Azam Fc kwenye dimba la Taifa, January 02 2019 Azam ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa mchezo huo



Aidha mchezo wa kiporo dhidi ya African Lyon umepangwa kupigwa Disemba 23 2018 kwenye dimba la Taifa
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’