Kikosi cha Yanga kimeondoka mapema leo kuelekea Rukwa ambako kesho Jumatano kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Sumbawanga United utakaopigwa dimba la Mandela
Uongozi wa Yanga umewaalika wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wa maeneo jirani kujitokeza kwa wingi kuilaki timu hiyo ambayo jana imefanikiwa kuilaza Tanzania Prisons mabao 3-1 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Baada ya mchezo huo kikosi cha Yanga kitarejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa ligi dhidi ya Biashra United utakaopigwa Jumapili ijayo , Dec 09 kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE