Winga wa Yanga Mrisho Ngasa na beki wa Tanzania Prisons Laurian Mpalile wameomba radhi baada ya kupigana kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara jana.
Wachezaji hao walizidiwa na presha ya mchezo mwishoni mwa kipindi cha kwanza na kujikuta wakifanya matukio hayo yasiyokuwa ya kiungwana.
Hata hivyo baada ya mchezo waliomba radhi kudhihirisha soka ni mchezo wa kiungwana.
Ngasa 'Uncle' hana rekodi ya kuwa na matukio ya utovu wa nidhamu. Bila shaka kilichotokea jana kilisababishwa na mwenendo wa mchezo huo
Wachezaji hao huenda wakafungiwa michezo mitatu kila mmoja baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja

ADVERTISE HERE